Papa Pelagio II
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Papa Pelagio II alikuwa Papa kuanzia tarehe 26 Novemba 579 hadi kifo chake tarehe 7 Februari 590[1]. Alitokea Roma, Italia[2].

Alimfuata Papa Benedikto I akafuatwa na Papa Gregori I.
Alifariki kwa tauni iliyofika mji wa Roma mwisho wa mwaka 589.
Tazama pia
Tanbihi
Marejeo
Viungo vya nje
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads