Papa Pius II
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Papa Pius II (kwa Kilatini: Pius PP. II, kwa Kiitalia: Pio II; 18 Oktoba 1405 – 14 Agosti 1464) alikuwa Papa wa Kanisa Katoliki na mtawala wa Dola la Papa kuanzia tarehe 19 Agosti/3 Septemba 1458 hadi kifo chake[1]. Alitokea Corsignano, Italia[2].

Jina lake la kuzaliwa lilikuwa Enea Silvio Piccolomini (Kilatini: Aeneas Silvius Bartholomeus).
Alimfuata Papa Kalisti III akafuatwa na Papa Paulo II. [3]
Remove ads
Tazama pia
Tanbihi
Viungo vya nje
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads