Papa Pius III
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Papa Pius III (29 Mei 1439 – 18 Oktoba 1503) alikuwa Papa kwa siku chache kuanzia tarehe 22 Septemba/1/8 Oktoba 1503 hadi kifo chake[1]. Alitokea Siena, Italia[2].

Jina lake la kuzaliwa lilikuwa Francesco Todeschini Piccolomini.
Alimfuata Papa Aleksanda VI akafuatwa na Papa Julius II.
Tazama pia
Viungo vya nje
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads