Papa Pius VI
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Papa Pius VI (27 Desemba 1717 – 29 Agosti 1799) alikuwa Papa kuanzia tarehe 15/22 Februari 1775 hadi kifo chake[1]. Alitokea Cesena, Italia[2].

Jina lake la kuzaliwa lilikuwa Giannangelo Braschi.
Alimfuata Papa Klementi XIV akafuatwa na Papa Pius VII.
Tazama pia
Tanbihi
Viungo vya nje
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads