Papa Celestino IV
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Papa Celestino IV (alifariki 10 Novemba 1241) alikuwa Papa kuanzia tarehe 25/28 Oktoba 1241 hadi kifo chake[1]. Alitokea Milano, Italia[2].

Jina lake la kuzaliwa lilikuwa Goffredo da Castiglione. Alikuwa mpwa wa Papa Urban III.
Alimfuata Papa Gregori IX akafuatwa na Papa Inosenti IV.
Tazama pia
Tanbihi
Viungo vya nje
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads