Papa Sisinnio
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Papa Sisinnio alikuwa Papa kwa wiki tatu tu kuanzia tarehe 15 Januari 708 hadi kifo chake tarehe 4 Februari 708[1]. Alitokea Syria[2].

Alimfuata Papa Yohane VII akafuatwa na Papa Konstantino.
Tazama pia
Tanbihi
Viungo vya nje
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads