Papa Yohane VII
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Papa Yohane VII alikuwa Papa kuanzia tarehe 1 Machi 705 hadi kifo chake tarehe 18 Oktoba 707[1]. Alitokea nchi ya Ugiriki[2].

Alimfuata Papa Yohane VI akafuatwa na Papa Sisinnio.
Tazama pia
Tanbihi
Viungo vya nje
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads