Papa Sixtus V

From Wikipedia, the free encyclopedia

Papa Sixtus V
Remove ads

Papa Sixtus V, O.F.M.Conv. (13 Desemba 152127 Agosti 1590) alikuwa Papa kuanzia tarehe 24 Aprili/1 Mei 1585 hadi kifo chake[1]. Alitokea Grottammare, Ascoli Piceno, Italia[2].

Thumb
Papa Sixtus V.

Jina lake la kuzaliwa lilikuwa Felice Peretti.

Alimfuata Papa Gregori XIII akafuatwa na Papa Urbano VII.

Tazama pia

Tanbihi

Viungo vya nje

Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads