Papa Urban VII
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Papa Urban VII (4 Agosti 1521 – 27 Septemba 1590) alikuwa Papa kwa siku chache kuanzia tarehe 15 Septemba 1590 hadi kifo chake[1]. Alitokea Roma, Italia[2].

Jina lake la kuzaliwa lilikuwa Giambattista Castagna.
Alimfuata Papa Sixtus V akafuatwa na Papa Gregori XIV.
Alipatwa na malaria na kufariki kabla hajavishwa taji la Kipapa.
Tazama pia
Tanbihi
Viungo vya nje
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads