Papa Stefano IX
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Papa Stefano IX, O.S.B. (takriban 1020 – 29 Machi 1058) alikuwa Papa kuanzia tarehe 2/3 Agosti 1057 hadi kifo chake[1]. Alitokea Lorraine, leo nchini Ufaransa[2].

Jina lake la kuzaliwa lilikuwa Frederic de Lorraine.
Alimfuata Papa Vikta II akafuatwa na Papa Nikolasi II.
Tazama pia
Tanbihi
Viungo vya nje
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads