Papa Urban VI
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Papa Urban VI (takriban 1318 – 15 Oktoba 1389) alikuwa Papa kuanzia tarehe 8/18 Aprili 1378 hadi kifo chake[1]. Alitokea Napoli, Italia[2].

Jina lake la kuzaliwa lilikuwa Bartolomeo Prignano.
Alimfuata Papa Gregori XI akafuatwa na Papa Bonifasi IX.
Tazama pia
Tanbihi
Viungo vya nje
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads