Papa Gregori XI
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Papa Gregori XI (takriban 1336 – 26 Machi 1378) alikuwa Papa kuanzia tarehe 30 Desemba/3 Januari 1370 hadi kifo chake[1]. Alitokea Rosiers de d'Egletons, Ufaransa[2].

Jina lake la kuzaliwa lilikuwa Pierre Roger de Beaufort.
Alimfuata Papa Urbano V akafuatwa na Papa Urbano VI.
Tazama pia
Tanbihi
Viungo vya nje
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads