Papa Gregori XIV

From Wikipedia, the free encyclopedia

Papa Gregori XIV
Remove ads

Papa Gregori XIV (11 Februari 153516 Oktoba 1591) alikuwa Papa kuanzia tarehe 5/8 Desemba 1590 hadi kifo chake[1]. Alitokea Somma Lombarda, Italia[2].

Thumb
Papa Gregori XIV.

Jina lake la kuzaliwa lilikuwa Niccolò Sfondrati.

Alimfuata Papa Urbano VII akafuatwa na Papa Inosenti IX.

Tazama pia

Tanbihi

Viungo vya nje

Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads