Papulo
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Papulo (kwa Kilatini: Papulus, Pabulus; kwa Kifaransa: Papoul; karne ya 3 - Toulouse, Galia, leo nchini Ufaransa, 300 hivi) alikuwa padri wa Kanisa Katoliki aliyeshirikiana na askofu Saturnini wa Toulouse kuinjilisha eneo la kusini la Ufaransa hadi alipouawa katika dhuluma ya kaisari Dioklesyano [1].
Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu mfiadini.
Remove ads
Tazama pia
Tanbihi
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads