Pasiensi wa Metz
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Pasiensi wa Metz (aliishi katika karne ya 4) alikuwa askofu wa nne wa mji huo (leo nchini Ufaransa)[1]
Inasemekana aliongoza kanisa hilo miaka 14.
Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu.
Tazama pia
Tanbihi
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads