Paskasi Radberti
Mwanateolojia wa Ufaransa From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Paskasi Radberti, O.S.B. (Soissons, leo nchini Ufaransa, 792 hivi - Corbie, leo nchini Ufaransa, 26 Aprili, 865) alikuwa padri mmonaki chini ya kanuni ya Mt. Benedikto[1], maarufu kama mwanateolojia na kwa maandishi yake[2] alipoeleza vizuri imani kuhusu Mwili na Damu ya Kristo katika ekaristi.

Papa Gregori VII alimtangaza mtakatifu mwaka 1073.
Remove ads
Tazama pia
Tanbihi
Marejeo
Marejeo mengine
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads