Paterniani wa Fano
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Paterniani wa Fano (Fano, mkoa wa Marche, nchini Italia, 275 - Fano, 13 Novemba 360) kwa miaka 40 alikuwa askofu wa kwanza wa mji huo[1].

Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu.
Sikukuu yao ni tarehe 12 Julai[2] lakini pia 10 Julai, 13 Novemba au 23 Novemba.
Tazama pia
Tanbihi
Marejeo
Viungo vya nje
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads