Paula Montal
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Paula Montal (Arenys de Mare, Barcelona, Hispania, 11 Oktoba 1799 - Olesa de Montserrat, 26 Februari 1889) alikuwa bikira mwanzilishi wa shirika la Mabinti wa Maria wa Shule za Kikristo ambalo ndani ya Kanisa Katoliki linahudumia wasichana na elimu yao kwa kufuata karama ya Yosefu Calasanz[1].

Papa Yohane Paulo II alimtangaza mwenye heri tarehe 18 Aprili 1993 na mtakatifu tarehe 25 Novemba 2001.
Remove ads
Tazama pia
Tanbihi
Viungo vya nje
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads