Paulo Liu Jinde
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Paulo Liu Jinde (Lanziqiao, 1821 hivi - Lanziqiao, 13 Julai 1900) alikuwa mlei wa China aliyefia Ukristo wakati wa Uasi wa Mabondia.

Akiwa mzee, dhuluma yao ilikuwa imemuacha yeye tu kati ya Wakristo wa kijiji chake. Hapo aliwaendea watesi hao akishika mikononi rozari na kitabu cha sala, akawasalimu Kikristo na kwa sababu hiyo aliuawa nao mara moja [1].
Papa Yohane Paulo II alimtangaza mtakatifu pamoja na wengine 119 tarehe 1 Oktoba 2000.
Sikukuu yao huadhimishwa tarehe 9 Julai, ila ya kwake mwenyewe tarehe 13 Julai[2].
Remove ads
Tazama pia
Tanbihi
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads