Perpetui wa Maastricht

From Wikipedia, the free encyclopedia

Perpetui wa Maastricht
Remove ads

Perpetui wa Maastricht (kwa Kilatini na Kiholanzi: Perpetuus; kwa Kifaransa: Perpète au Perpétue; Dinant, leo nchini Ubelgiji, karne ya 6 - Dinant, 4 Novemba 620 hivi) alikuwa kwa miaka 13 askofu wa 23 wa jimbo la Tongeren-Maastricht, leo kati ya Ubelgiji na Uholanzi[1].

Thumb
Sanamu mnamotunzwa masalia yake, Dinant.

Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 4 Novemba[2].

Remove ads

Tazama pia

Tanbihi

Marejeo

Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads