Petr Čech
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Petr Čech (amezaliwa Pilsen, 5 Mei 1982) ni mchezaji wa mpira wa miguu kutoka nchini Ucheki, ambaye kwa sasa anaichezea klabu mashuhuri ya mpira wa miguu ya huko Uingereza, maarufu kama Chelsea F.C. na pia timu ya taifa ya Ucheki.
Remove ads
Tuzo
Chelsea F.C.
Mshindi
- FA Premier League: 2004-05,2005-2006,2009-2010,2014-2015
- Kombe la FA: 2007, 2009, 2010, 2012
- FA Community Shield: 2005, 2009
- Football League Cup: 2005, 2007, 2015
- UEFA Champions League: 2011-2012
- UEFA Europa League: 2012-2013
Arsenal F.C.
Mshindi
- Kombe la FA: 2017
- FA Community Shield: 2015, 2017
![]() |
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Petr Čech kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
Remove ads
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads