Petrarca

From Wikipedia, the free encyclopedia

Petrarca
Remove ads

Francesco Petrarca (matamshi wa Kiitalia: franˈtʃesko peˈtrarka; Arezzo, 20 Julai 1304Arquà, Padua, 18/19 Julai 1374) alikuwa mshairi wa Italia wakati wa mwanzo wa Renaissance[1].

Thumb
Petrarca alivyochorwa na Altichiero.
Thumb
Nyumba alimozaliwa Petrarca huko Arezzo.
Thumb
Mnara wa kengele wa Santa Maria della Pieve huko Arezzo.

Katika karne ya 16, Pietro Bembo alisanifisha Kiitalia kwa kutegemea maandishi ya Petrarca na Giovanni Boccaccio, hata kuliko yale ya Dante Alighieri.[2]

Remove ads

Maandishi yake katika tafsiri ya Kiingereza

Remove ads

Tanbihi

Marejeo

Marejeo mengine

Viungo vya nje

Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads