Phenomenon
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Phenomenon ni jina la kutaja albamu kamili halisi ya rapa LL Cool J. Baada ya kupata mafanikio katika albamu yake iliyopita, Mr. Smith, misimamo ni ileile inafuata humu, ikiwa sambamba kabisa na vibao vikali kadhaa vya ladha ya R&B, na vibao vingine kadhaa vya hardcore Rap. Albamu hii haikupata mafanikio makubwa kimauzo - kama jinsi ilivyolkuwa katika Mr. Smith, lakini ilifikia katika Platinum. Albamu ilitayarishwa na Sean "Puffy" Combs na kwa maana hiyo ameshirikisha utayarishaji wa nyumbani kwake na vijogoo na watayarishaji wake wa The Hitmen.
Remove ads
Orodha ya nyimbo
![]() |
Makala hii kuhusu albamu za hip hop za miaka ya 1990 bado ni mbegu. Unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuongezea habari. |
Remove ads
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads