Method Man
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Clifford Smith (amezaliwa tar. 1 Aprili 1970) ni msanii wa muziki wa hip hop, mtayarishaji wa rekodi, na mwigizaji kutoka nchini Marekani. Anafahamika sana kwa jina lake la kisanii kama Method Man au Meth. Yeye ni mmoja kati ya wanaounda kundi zima la muziki wa hip hop la Wu-Tang Clan. Amechukua jina lake la kisanii kutoka kwenye filamu moja hivi ya mwaka wa 1979 iliyokwenda kwa jina la The Fearless Young Boxer - pia inajulikana kama Method Man. Huyu ni mmoja kati ya nusu kundi, yaani, Method Man na Redman. Amepata kushinda Tuzo ya Grammy akiwa kama Rapa bora kwa ajili ya wimbo alioimba na Mary J. Blige wa "I'll Be There for You/You're All I Need to Get By".
Remove ads
Diskografia
- Tical (1994)
- Tical 2000: Judgement Day (1998)
- Blackout! (with Redman) (1999)
- Tical 0: The Prequel (2004)
- 4:21... The Day After (2006)
- Blackout! 2 (with Redman) (2009)
- The Wu-Massacre (akiwa na Raekwon na Ghostface Killah) (2009)
- Crystal Meth (2010)
Marejeo
Viungo vya Nje
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads