Phyno
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Chibuzor Nelson Azubuike (anayejulikana zaidi kwa jina lake la kisanii Phyno; amezaliwa 9 Oktoba 1986) ni rapa, mwimbaji, mtunzi wa nyimbo na mtayarishaji wa rekodi wa Nigeria[1][2].

Alianza kazi yake ya muziki kama mtayarishaji mnamo 2003. Anajulikana kwa kuimba nyimbo za rap katika lugha ya Igbo .
Albamu yake ya kwanza ya studio,No Guts No Glory, ilitolewa mnamo 2014. Iliandaa wimbo "Ghost Mode", "Man of the Year", "Parcel" na "O Set" .Akiwa ni mtayarishaji, ameshirikiana na wasanii kama hawa kama Timaya, Flavour, Ruggedman, Bracket, J. Martins na Mr. Raw.
Remove ads
Maisha binafsi
Katika mahojiano ya 2014 na gazeti la The Punch, Phyno alikataa ripoti kuhusu kumtia hatiani mwanamke anayeitwa Rita Edmond.
Tanbihi
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads