Pia
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Pia (Kiing. cone) ni gimba linalopatikana kama nukta zote za duara zinaunganishwa na nukta moja iliyopo juu yake.

Kwa lugha nyingine pia inapatikana kama pembetatu mraba inazunguka kwenye upande wake mfupi.
Eneo la duara ya msingi ni tako la nia. Umbali kutoka tako hadi ncha yake ni kina cha pia.
Katika jiometria si lazima ya kwamba tako ni duara. Umbo lolote linafaa. Kwa mfano piramidi kijiometria ni aina ya pia yenye tako la poligoni kwa kawaida mraba.
Yaliyomo (=volume) ya pia hukadiriwa kwa njia ifuatayo:
ni theluthi moja ya eneo la tako (=base) lililozidishwa na kina (=height):
Kama pia ina tako la mviringo fomula yake ni
theuthi moja ya pai iliyozidishwa na rediasi mara r mara kina .
Remove ads
Marejeo
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads