Port Louis

From Wikipedia, the free encyclopedia

Port Louis
Remove ads

Port Louis ni mji mkuu wa jamhuri ya Morisi. Ukiwa na wakazi 170,000 ni mji mkubwa wa taifa hilo la visiwani katika Bahari Hindi.

Ukweli wa haraka Nchi ...
Thumb
Thumb
Makumbusho ya Port Louis
Thumb
Mahali pa wilaya ya Port-Louis katika kisiwa cha Morisi

Kiwanja cha ndege cha kimataifa cha Sir Seewoosagur Ramgoolam kipo km 30 kusini kwa mji. Kutoka Port Louis kuna feri kwenda Saint-Denis, mji mkuu wa Réunion.

Kuna viwanda vya nguo na vitambaa pia vya kemikali na dawa. Benki ziko nyingi. Kwa jumla Port Louis ni mji ambao wenyeji wana hali ya maisha iliyo juu kushinda miji mingine ya Afrika.

Remove ads

Tazama pia

Viungo vya nje

Makala hii kuhusu maeneo ya Afrika bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Port Louis kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads