Port Said

From Wikipedia, the free encyclopedia

Port Said
Remove ads

Port Said (kwa Kiarabu بورسعيد, inatafsirika kama Būr Saʻīd) ni mji wa nchi ya Misri, karibu kidogo na Mfereji wa Suez, ambao unakadiriwa kuwa na wakazi wapatao 500,000 waishio katika mji huo.

Ukweli wa haraka Nchi, Mkoa ...
Remove ads
Thumb
Misri: Sehemu ya PortSaid (juu).
Thumb
Mji wa Port Said, Misri

Mji wa Port Said, unasemekana kuwa na samaki wengi na viwanda. Viwanda vinavyopatikana huko ni pamoja na vya kampaundi, vyakula na sigara.

Port Said pia ni bandari muhimu kwa kusafirishia bidhaa za Misri kama vile pamba na mchele. Pia kuna kituo cha kujazia mafuta kwa meli ambazo zinapita kuelekea Suez.

Remove ads

Viungo vya nje

Ukweli wa haraka
Makala hii kuhusu maeneo ya Afrika bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Port Said kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Remove ads
Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads