Sigara

From Wikipedia, the free encyclopedia

Sigara
Remove ads
Remove ads

Sigara ni kitu cha kuvuta moshi kinachojenga uraibu. Kinatengenezwa kwa tumbaku na kusokotwa kwa karatasi maalumu, chenye umbo refu na la mviringo.

Thumb
Mfano wa sigara.

Sigara zinasababisha madhara makubwa katika mwili wa binadamu: mara nyingi hudhuru mapafu na mfumo mzima wa upumuaji.

Sigara za kisasa za viwandani zimechujwa, na pia zinajumuisha tumbaku iliyoandaliwa.

Maelezo zaidi Asilimia ya wavutaji, Eneo ...

Source: World Health Organization estimates, 2000

Maelezo zaidi Nchi, Idadi ya wakazi (milioni) ...
Remove ads

Tazama pia

Tanbihi

Loading content...

Viungo vya nje

Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads