Port of Spain
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Port of Spain ni mji mkuu wa nchi ya Trinidad na Tobago.

Idadi ya wakazi ni watu 49,031; pamoja na sehemu za nje inafika nusu milioni[1]. Ni mji wa tatu kwa ukubwa nchini. Ilikuwa kama mji mkuu wake tangu miaka ya 1700.
Port of Spain ni kitovu muhimu cha biashara katika maeneo ya Karibi, hasa kutokana na bandari yake na soko la hisa.
Kiutamaduni ni mashuhuri kwa kanivali yake.
Remove ads
Marejeo
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads