Soko la hisa
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Soko la hisa (kwa Kiingereza "stock exchange") ni mahali pa biashara ya hisa za makampuni.

Mara nyingi "soko la hisa" lamaanisha taasisi au jengo ambako biashara hii inafanywa. Lakini jina hili laweza pia kumaanisha jumla ya biashara ya hisa katika nchi fulani au katika tawi la uchumi (ing. "share / stock market") kwa kujumlisha taasisi mbalimbali katika nchi au biashara kwa njia ya intaneti.
Remove ads
Masoko ya hisa muhimu ya kimataifa
- American Stock Exchange
- Bombay Stock Exchange
- Euronext
- Frankfurt Stock Exchange
- Helsinki Stock Exchange
- Hong Kong Stock Exchange
- Johannesburg Securities Exchange
- London Stock Exchange
- Madrid Stock Exchange
- Milan Stock Exchange
- Nairobi Stock Exchange
- NASDAQ
- National Stock Exchange
- New York Stock Exchange
- São Paulo Stock Exchange
- Korea Stock Exchange
- Shanghai Stock Exchange
- Singapore Exchange
- Stockholm Stock Exchange
- Taiwan Stock Exchange
- Tokyo Stock Exchange
- Toronto Stock Exchange
- Zürich Stock Exchange
Remove ads
Masoko ya hisa muhimu zaidi barani Afrika
Kwa jumla kuna masoko ya hisa 29 barani Afrika yanayohudumia nchi 38.
Kuna masoko ya hisa 2 ya kikanda ambayo ni:
- Bourse Régionale des Valeurs Mobilières (BRM) huko Abidjan ambayo inahudumia nchi za Benin, Burkina Faso, Guinea Bissau, Côte d'Ivoire, Mali, Niger, Senegal na Togo; na
- Bourse Régionale des Valeurs Mobilières d'Afrique Centrale (BVMAC) huko Libreville ambayo inahudumia nchi za Jamhuri ya Afrika ya Kati, Tchad, Kongo, Guinea ya Ikweta na Gabon.
Masoko ya hisa ya kwanza katika Afrika yaliundwa Misri (mwaka 1883), Afrika Kusini (mwaka 1887) na Moroko (1929).
Remove ads
Viungo vya nje
![]() |
Makala hii kuhusu mambo ya uchumi bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Soko la hisa kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads