Yamkini
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Yamkini (kutoka Kiarabu يمكن yumkinu = inawezekana; kwa Kiingereza probability) ni kadirio la fursa au uwezekano wa kutokea au kutotokea kwa tukio fulani. Kuna tawi la hisabati linaloshughulikia swali hili.

Mfano: kwa kutumia hisabati ya yamkini unaweza kuonyesha ya kwamba ukirusha sarafu hewani mara 10 italala mara 5 kwa kuonyesha namba na mara 5 kwa kuonyesha nembo upande wa juu.
Fomula ya yamkini ni P=F/C. P ni yamkini, F ni idadi ya matukio yanayopendekezwa, C ni jumla ya matukio yanayoweza kutokea.
Remove ads
Tanbihi
Marejeo
Viungo vya nje
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads