Protadi
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Protadi (kwa Kifaransa: Prothade; alifariki Besancon, Ufaransa, 624) alikuwa askofu wa mji huo kuanzia mwaka 612 hadi kifo chake[1].
Alijitahidi kudumisha imani sahihi na maadili ya Kanisa, na kwa busara yake aliombwa shauri na mfalme Klotari II mara kadhaa.
Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu.
Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 10 Februari[2].
Tazama pia
Tanbihi
Marejeo
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads