Pugi

From Wikipedia, the free encyclopedia

Pugi
Remove ads
Remove ads

Pugi au huji ni ndege wa jenasi mbalimbali katika familia Columbidae. Mgongo wao una rangi ya jivu au kahawa na kidari na tumbo zina rangi ya pinki na/au nyeupe. Mabawa ya spishi nyingi, pamoja na spishi za Afrika, yana mabaka kwa rangi ing'aayo. Spishi za zinatokea Afrika chini ya Sahara. Hutafuta chakula chini na hula mbegu hasa lakini matunda, wadudu na makoa pia. Hujenga tago lao mitini au vichakani na jike hutaga mayai mawili.

Maelezo zaidi Uainishaji wa kisayansi, Ngazi za chini ...
Remove ads

Spishi za Afrika

Remove ads

Spishi za mabara mengine

Remove ads

Picha

Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads