Njiwa

From Wikipedia, the free encyclopedia

Njiwa
Remove ads

Njiwa ni ndege wakubwa kiasi wa jenasi Columba na Patagioenas katika familia Columbidae. Spishi nyingine huitwa kunda pia.

Maelezo zaidi Uainishaji wa kisayansi, Ngazi za chini ...

Wana rangi ya kijivu na nyeupe na pengine kuna rangi ing'aayo ya buluu au zambarau.

Wanatokea mazingira yote yenye miti. Njiwa hula mbegu, matunda na mimea. Hujenga tago lao la vijiti kwa miti au miwamba. Jike hutaga mayai mawili kwa kawaida na makinda wapewa dutu inayofanana na maziwa. Dutu hii inatungwa katika gole la ndege.

Remove ads

Spishi za Afrika

Remove ads

Spishi za mabara mengine

Remove ads

Picha

Makala hii kuhusu mnyama fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Njiwa kama uainishaji wake wa kibiolojia, maisha au uenezi wake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads