Rafaeli Guizar
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Rafaeli Guizar (Cotija, Meksiko, 26 Aprili 1878 - Mji wa Meksiko, 6 Juni 1938) alikuwa askofu mkuu wa Veracruz-Jalapa kuanzia mwaka 1919.

Kwa kuwa alijihusisha na vita vya Cristeros aliondolewa jimboni mwake ikambidi aishi na kuendelea na uchungaji wake mafichoni jijini Mji wa Meksiko hadi kifo chake [1].
Papa Yohane Paulo II alimtangaza mwenye heri tarehe 29 Januari 1995, halafu Papa Benedikto XVI alimtangaza mtakatifu tarehe 15 Oktoba 2006.
Remove ads
Tazama pia
Tanbihi
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads