Rais wa Ufini
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Rais wa Ufini ni mkuu wa nchi wa jamhuri ya Ufini. Rais wa Ufini huongoza sera ya kigeni pamoja na baraza la jimbo. Anaongoza jeshi wa Ufini pia.[1]
Jamhuri hiyo imekuwa na marais kumi na watatu. Orodha yao ni kama ifuatavyo [2]:
Kaarlo Juho Ståhlberg (1919 - 1925)
Lauri Kristian Relander (1925 - 1931)
Pehr Evind Svinhufvud (1931 - 1937)
Kyösti Kallio (1937 - 1940)
Risto Heikki Ryti (19.12.1940 - 1943 na 1943 - 1944)
Carl Gustaf Emil Mannerheim (4.8.1944 - 8.3.1946)
Juho Kusti Paasikivi (1946 - 1956)
Urho Kaleva Kekkonen (1956 - 1981)
Mauno Henrik Koivisto (1981 vuli na 1982 - 1994)
Martti Ahtisaari (1994 - 2000)
Tarja Halonen (2000 - 2012)
Sauli Niinistö (2012 - 2024)
Alexander Stubb (2024 -)
Remove ads
Tanbihi
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads