Rambati

From Wikipedia, the free encyclopedia

Rambati
Remove ads

Rambati (pia: Rambert, Ragnebert, Ragnebertus; alifariki karibu na Lyon, Ufaransa, 13 Juni 680) alikuwa mkabaila mwenye maadili ya hali ya juu ambaye alichukiwa na mkuu wa ikulu hata akafungwa na hatimae kuuawa[1].

Thumb
Kifodini cha Mt. Rambati katika dirisha la kioo cha rangi.

Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu mfiadini.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 13 Juni[2].

Remove ads

Tazama pia

Tanbihi

Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads