Refugee Camp - Bootleg Versions
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Refugee Camp: Bootleg Versions ni albamu ya muziki ya mwaka wa 1996 ya kundi la muziki wa hip hop maarufu kama The Fugees. Albamu ilitolewa na Sony Music Entertainment, na imejumuisha nyimbo nane, mmoja kati ya hizo ni mpya kabisa. Nyimbo zilizopo kwenye albamu hii zilikuja kutolewa upya tena kwenye diski mnamo mwaka wa 2001, ikiwa kama sehemu ya The Complete Score.
Remove ads
Orodha ya Nyimbo
Remove ads
Nafasi ya Chati ya Albamu
Mwaka | Albamu | Nafasi ya Chati | ||
Billboard 200 | ||||
1996 | The Score | #127 |
![]() |
Makala hii kuhusu mambo ya muziki bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Refugee Camp - Bootleg Versions kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
Remove ads
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads