Wyclef Jean
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Nelust Wyclef Jean (amezaliwa 17 Oktoba 1972) ni mwanamuziki, mwigizaji, mtayarishaji wa Kihaiti-Kimarekani. Pia anafahamika kwa kuwa kama mwanachama wa kundi la muziki wa hip hop la The Fugees.
Remove ads
Wasifu
Jean alizaliwa kama Nelust Wyclef Jean, mjini Croix-des-Bouquets, Haiti, alipewa jina la Wyclef Jean na baba yake mlezi, mchungaji aliyebadilisha jina lake baada ya kuitwa John Wycliffe[1]. Alihama yeye na familia yake na kuelekea zao mjini Brooklyn, New York akiwa na umri wa miaka tisa, na kisha baadaye kuelekea zao New Jersey.
Muziki
- The Carnival (akiwa na Pras na Lauryn Hill) (Columbia, 1997)
- The Ecleftic: 2 Sides II a Book (Columbia, 2000)
- Masquerade (Columbia, 2002)
- Greatest Hits (Columbia, 2003)
- The Preacher's Son (J, 2003)
- Welcome to Haiti: Creole 101 (Koch, 2004)
- Carnival Vol. II: Memoirs of an Immigrant (Columbia, 2007)
Marejeo
Viungo vya nje
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads