The Score

From Wikipedia, the free encyclopedia

The Score
Remove ads

The Score ni albamu mshindi wa Tuzo za Grammy ikiwa kama albamu bora ya R&B na hip hop iliotolewa na kundi la Fugees. Albamu imetolewa dunia nzima mnamo 13 Februari 1996, imeifuata toleo lao la kwanza la mwaka wa 1994, Blunted on Reality. Tangu kutolewa kwa albamu, imepokea sifa nzuri sana kutoka katika vyombo vya habari vya muziki, na leo hii; imekuwa miongoni mwa albamu bora za Hip-hop zilizouza vizuri kwa muda wote kwa kuwa na mauzo zaidi ya milioni 18[10].

Ukweli wa haraka Studio album ya Fugees, Imetolewa ...

Albamu ina mambo mengi, yaani, muziki umekuwa mbadala, hasa mabadiliko ya muziki wa hip hop mwishoni mwa miaka ya 1990. Miongoni mwa mabadiliko hayo ni pamoja na kuchanganya athira za muziki wa reggae na soul ndani yake, sauti za kike na mistari ya kujijua inalenga matatizo ya kijamii hasa. Suala zima la utayarishaji lilikuwa likishughulikiwa na Fugees wenyewe na Jerry "Wonder" Duplessis, kwa msaada wa Salaam Remi, John Forté, Shawn King, na Diamond D. Mwimbaji mwalikwa kwenye albamu hii ni wale wanachama wa kundi la Outsidaz' Rah Digga, Young Zee na Pacewon na vilevile Omega, John Forté, na Diamond D.

Remove ads

Orodha ya Nyimbo

Maelezo zaidi #, Jina ...
Remove ads

Single

Maelezo zaidi Taarifa za single ...
Remove ads

Chati ilizoshika

Albamu

Maelezo zaidi Mwaka, Albamu ...

Single

Maelezo zaidi Mwaka, Wimbo ...

Matunukio

Maelezo zaidi Nchi, Matunukio ...

Marejeo

Viungo vya nje

Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads