Rejina wa Alise

From Wikipedia, the free encyclopedia

Rejina wa Alise
Remove ads

Rejina wa Alise (pia: Regnia, kwa Kifaransa: Reine; alifariki Alise[1], leo nchini Ufaransa, nusu ya pili ya karne ya 3) alikuwa mwanamke aliyeuawa kwa agizo la baba yake baada ya kujiunga na Ukristo na kukataa kuuasi ili kuolewa na liwali [2].

Thumb
Sanamu yake.

Tangu kale anaheshimiwa kama mtakatifu mfiadini.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 7 Septemba[3][4][5][6] .

Tazama pia

Tanbihi

Viungo vya nje

Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads