Remember the Time

From Wikipedia, the free encyclopedia

Remember the Time
Remove ads

"Remember the Time" ni jina la wimbo ulioimbwa na msanii wa rekodi za muziki wa rock, pop na R&B Michael Jackson mnamo mwezi wa Machi ya mwaka wa 1992. Ulitolewa ukiwa kama single ya pili ya Jackson kutoka kwenye albamu yake ya mwaka wa 1991, Dangerous, wimbo ulifanikisha mpango wa Jackson wa kuunda ladha mpya ya New jack swing-ikiwa na R&B.

Ukweli wa haraka Imetolewa, Muundo ...

Wimbo ameandaa kwa ushirikiano wake na Teddy Riley. Wimbo umegonga nafasi ya 3 kwenye chati za Billboard Hot 100 na namba 1 kwenye Billboard R&B Singles. Mnamo mwaka wa 1993 Jackson alitoa heshima kwa kuuimba wimbo huu kwenye sherehe za ugawaji wa tuzo za Soul Train Awards akiwa kwenye kiti. Hii ni kwa sababu amepata kushtuka mara kwa mara akiwa anafanya mazoezi na ilitokea hivi siku moja kabla ya sherehe hii kufanyika. Remember The Time umepata tuzo ya Soul Train Award for Best Male R&B Single.

Remove ads

Muziki wa Video

Kama jinsi ilivyokuwa katika sehemu za nyimbo zake zilizopita, muziki wa video wa "Remember the Time" (umeongozwa na John Singleton) ilikuwa utayarishaji wa kimaelezo na imefanya wimbo uwe na urefu wa dakika 9. Wimbo upo kwenye seti ya Misri ya Kale, imetiwa vionjo na kuonekana kama video ya kizamaani kweli. Ndani yake anauza sura Eddie Murphy, Iman, Magic Johnson, na Tom "Tiny" Lister, Jr. ikiwa sambamba na uchezaji mkali na wa kitatanishi na kuwa kama kitovu cha uchezaji katika video zote za albamu ya Dangerous na ni moja kati ya video chache alizoonekana akimkumbatia mwanamke na kumladenda.

Remove ads

Orodha ya Nyimbo

Toleo Halisi

Singe ya UK

  1. "Remember the Time" – 3:59
  2. "Remember the Time" (Silky Soul 7") – 4:18
  3. "Remember the Time" (New Jack Main Mix) – 6:50
  4. "Come Together" – 5:27

Single ya US

  1. "Remember the Time" (Silky Soul 7") – 4:18
  2. "Remember the Time" (New Jack Radio Mix) – 4:00
  3. "Remember the Time" (12" Main Mix) – 4:37
  4. "Remember the Time" (E-Smoove's Late Nite Mix) – 7:14
  5. "Remember the Time" (Maurice's Underground) – 7:29
  6. "Black or White" (The Clivillés & Cole Radio Mix) – 3:33
  7. "Black or White" (House with Guitar Radio Mix) – 3:53
  8. "Black or White" (The Clivillés & Cole House/Club Mix) – 7:33
  9. "Black or White" (The Underground Club Mix) – 7:30

Single ya Visionary

CD side
  1. "Remember the Time" (7" Main Mix)
  2. "Remember the Time" (New Jack Jazz Mix)
DVD side
  1. "Remember the Time" (muziki wa video)
Remove ads

Mamixi Yake

  • Album Version – 3:59
  • 12" Main Mix – 4:47
  • 7" Main Mix – 4:01 – Hii imetolewa kwenye single za Visionary tu.
  • A Cappella – 3:35
  • New Jack Radio Mix – 4:06
  • New Jack Main Mix
  • New Jack Jazz (21) – 5:06
  • Silky Soul 12" Mix
  • Silky Soul 7" – 4:07
  • Silky Soul Dub
  • E-Smoove's Late Nite Mix
  • E-Smoove's Late Nite Dub
  • Maurice's Underground
  • Mo-Mo's Instrumental
  • E Smoove's Early Morning Vocal Groove
  • E Smoove's Nite Classic Club Remix
  • Underground Hip Hop Vocal

Chati Zake

Maelezo zaidi Chati (1992), Nafasi Nafasi iliyoshika ...

Matunukio

Maelezo zaidi Nchi, Matunukio ...
Remove ads

Marejeo

Viungo vya Nje

Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads