Kinega
Ndege wadogo wa jenasi Riparia, familia Hirundinidae From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Vinega ni ndege wa jenasi Riparia katika familia Hirundinidae. Wanafanana na mbayuwayu lakini wana rangi ya mchanga na nyeupe. Mwenendo wao ni sawa na ule wa mbayuwayu. Hulichimba tundu lao katika ukingo au chungu ya mchanga. Jike huyataga mayai 2-5.
Remove ads
Spishi za Afrika
- Neophedina cincta, Kinega Miraba (Banded martin)
- Phedina borbonica, Kinega-visiwa (Mascarene Martin)
- Phedina brazzae, Kinega wa Brazza (Brazza's Martin)
- Ptyonoprogne fuligula, Kinega-mawe (Rock Martin)
- Ptyonoprogne obsoleta, Kinega-mawe Mweupe (Pale Crag Martin)
- Ptyonoprogne rupestris, Kinega-mawe wa Ulaya (Eurasian Crag Martin)
- Riparia congica, Kinega wa Kongo (Congo sand martin)
- Riparia paludicola, Kinega Koo-kahawia (Plain martin)
- Riparia riparia, Kinega-mchanga (Common Sand Martin)
Remove ads
Spishi ya Asia
- Ptyonoprogne concolor (Dusky Crag Martin)
- Riparia chinensis (Grey-throated martin)
- Riparia diluta (Pale martin)
Picha
- Kinega miraba
- Kinega koo-kahawia
- Kinega-mchanga kwa mwingilio wa tundu lake
- Grey-throated martin
- Pale martin
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads