Ripsime na wenzake
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Ripsime na wenzake, akiwemo Gayana (walifariki Etchmiadzin, Armenia, 290 hivi) walikuwa mabikira waliofia Ukristo, wa kwanza katika nchi hiyo[1].

Inasemekana walikuwa wamehama Roma ili kumsaidia Ripsime asiolewe na kaisari Dioklesyano aliyevutiwa na uzuri wake mkubwa[2].
Tangu kale wanaheshimiwa na Wakatoliki, Waorthodoksi na Waorthodoksi wa Mashariki kama watakatifu wafiadini.
Sikukuu yao huadhimishwa tarehe 29 Septemba[3] au tarehe nyingine kadiri ya madhehebu.
Remove ads
Tazama pia
Tanbihi
Viungo vya nje
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads