Rodingo
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Rodingo (pia: Chrodingus, Chraudingus, Rodingus, Radingus, Roding, Ronin, Rouin; Austrasia, Ulaya Kaskazini Magharibi, 594 hivi - Beaulieu, leo nchini Ufaransa, 17 Septemba 680) alikuwa mmonaki hadi kifo chake katika monasteri aliyoianzisha msituni [1].
Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu.
Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 17 Septemba[2].
Tazama pia
Tanbihi
Marejeo
Viungo vya nje
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads