Romano Mwimbaji
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Romano Mwimbaji (Homs au Damasko, Syria, 490 hivi - Konstantinopoli, leo nchini Uturuki, 556 hivi) alikuwa shemasi mwenye asili ya Kiyahudi aliyeishi katika monasteri na kutunga tenzi maarufu hadi leo kwa ajili ya Bwana na ya watakatifu wake[1].

Ufasaha wa sanaa yake hiyo umemfanya labda bora kati ya watunzi wote wa muziki wa Kikristo[2].
Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu.
Remove ads
Tazama pia
Tanbihi
Matoleo na tafsiri
Uchunguzi
Marejeo
Viungo vya nje
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads