Romulo wa Genova
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Romulo wa Genova (pia: Romolo, Roeummo, Reumo, Remo; alifariki Sanremo[1], karne ya 5[2] ) anakumbukwa kama askofu wa mji huo (Italia Kaskazini), mwenye ari ya kitume, aliyefariki wakati wa kutembelea watu wa vijijini [3].

Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu.
Tazama pia
Tanbihi
Viungo vya nje
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads