Roza Chen Aixie
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Roza Chen Aixie (Feng, 1878 hivi - Cao, 5 Julai 1900) alikuwa msichana wa China aliyeuawa kwa mikuki pamoja na dada yake Theresia Chen Jinxie ili kulinda ubikira na kupinga ukatili wa Uasi wa Mabondia[1].

Papa Yohane Paulo II alimtangaza mtakatifu pamoja na wengine 119 tarehe 1 Oktoba 2000.
Sikukuu yao huadhimishwa tarehe 9 Julai, lakini ya kwake mwenyewe ni tarehe ya kifodini chake[2].
Remove ads
Tazama pia
Tanbihi
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads