Rufo wa Capua

From Wikipedia, the free encyclopedia

Rufo wa Capua
Remove ads

Rufo wa Capua (alifariki Capua, Campania, Italia, karne ya 3 au ya 4) alifia imani ya Kikristo[1].

Thumb
Panapotunzwa masalia yake katika kanisa la Santa Maria Maggiore, Salerno.

Tangu kale anaheshimiwa na Kanisa Katoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu mfiadini.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 27 Agosti[2].

Tazama pia

Tanbihi

Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads